http//:saidistories7
mwandishisaidkaita ni blog inayomilikiwa na mwandishi, mchambuzi ndugu Said Kaita. Dhumuni kuu ni kurusha hadithi zenye kuelimisha, kuburudisha, na kusisimua. Pia, itahusisha uchambuzi wa kazi mbalimbali za kifasihi na sanaa kwa ujumla. Hadithi zitakuwa za kufikirika na za ukweli. Mawasiliano: 0783372139 E-mail: saidikaita7@gmail.com Karibu katika kasiri la HADITHI