MAPENZI KABURINI
MWANDISHI: SAID KAITA MAWASILIANO: 0783372139 E-mail: Saidikaita7@gmail.com Facebook Page: Saidikaitastories.com Blog: Saidikaitastories ONESHO LA KWANZA (Ni mishale ya saa tano asubuhi. Durudu akiwa na marafiki zake kijiweni. Durudu anamuongelea msichana aliyerudi kutoka mjini siku si chache aitwaye Safi. Baadhi ya rafiki zake wanamvunja moyo kwamba hawezi kumpata Safi, mmojawapo ni Pajero. Baada ya rafiki zake kumpa maneno kuhusiana na Safi. Durudu anaamua kuondoka huku akiwa na mawazo mengi kwelikweli. Anapoelekea nyumbani anakutana na Safi njiani akiwa anaelekea nyumbani. Durudu anamsalimia kwa bashasha zote). Durudu:(Anamsalimia kwa kumpa mkono). Mambo vipi Safi? Safi: (Safi anamjibu kwa mashauzi ). Safi. Durudu: Habari za mjini? Safi: ...